Isaiah 45:3-4


3 aNitakupa hazina za gizani,
mali zilizofichwa mahali pa siri,
ili upate kujua ya kwamba Mimi ndimi Bwana,
Mungu wa Israeli, akuitaye kwa jina lako.

4 bKwa ajili ya Yakobo mtumishi wangu,
Israeli niliyemchagua,
nimekuita wewe kwa jina lako,
na kukupa jina la heshima,
ingawa wewe hunitambui.
Copyright information for SwhKC